Genesis 15:12

12 aWakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake.
Copyright information for SwhNEN